Mumlii Senior Member Joined Mar 14, 2021 Posts 169 Reaction score 232 Jul 7, 2021 #1 Habari wana JF Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
Habari wana JF Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama?
S Step one Member Joined Sep 25, 2020 Posts 83 Reaction score 123 Jul 7, 2021 #2 Kama umekunywa juice yenye tangawizi na hukugundua lolote basi kunywa yenye avocado pekee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 7, 2021 #3 Inafaida nyingi sana...
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jul 7, 2021 #4 Nenda Google ka search utaletewa faida zake katika mwili
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,821 Jul 16, 2021 #5 Mumlii said: Habari wana JF Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama? Click to expand... Ina saidia Yale Mambo ya upungufu wa naniliu za akina baba
Mumlii said: Habari wana JF Huwa nakunywa, juisi mara nyingi wameweka tangawizi sa naomba nijue faida zake kwenye juisi . Inaleta flavor ama? Click to expand... Ina saidia Yale Mambo ya upungufu wa naniliu za akina baba