Naomba kujuzwa fursa za biashara Wilayani Momba kwa mtaji wa milioni 7

Naomba kujuzwa fursa za biashara Wilayani Momba kwa mtaji wa milioni 7

Thee

Member
Joined
Sep 29, 2023
Posts
17
Reaction score
5
Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba yafutayo

1. Kijiji ambacho kimechangamka ambapo naweza kuishi.

2. Fursa za KIBIASHARA

3. Hali ya hewa

4. Fursa za kilimo n.k
Wenyeji wa huko mnaweza kusema chochote, fursa
 
Back
Top Bottom