Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba yafutayo
1. Kijiji ambacho kimechangamka ambapo naweza kuishi.
2. Fursa za KIBIASHARA
3. Hali ya hewa
4. Fursa za kilimo n.k
Wenyeji wa huko mnaweza kusema chochote, fursa