Naomba kujuzwa Garage ya uhakika Bagamoyo Road

Naomba kujuzwa Garage ya uhakika Bagamoyo Road

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Habari za "Usiku huu wa Manane" Naomba msaada wa garage makini na ya uhakika iliyopo barabara ya Bagamoyo ambayo naweza kufanya service kubwa ya gari langu nina safari ndefu next week.

Ahsanteni.
 
Tunasubiria kwa hamu kujua ni gari gani kwanza mpk uombe usiku usiku?ni mpya?safari ya kwanza?,maana si kwa mikwara hiyo,na utakuata unaenda Moro...🤭
 
Back
Top Bottom