Naomba kujuzwa gharama ya kioo cha mbele cha Brevis

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Wanabodi napenda kujua gharama ya kioo cha mbele cha Brevis kwa Mwanza na Kahama au hata Dar.
 
Kuna siku nipo na cruiser ya kazini kioo kilipasuka wakati tupo kwenye Miseletukaenda kwa fundi akafunga kipya. Gharama plus ufundi ilikuwa elfu 90 Sikuamini kama ni chiep hivyo.

Hivyo naamini kioo kinaweza kuanzia 120k hadi 150k kama hakuna kishoka wa njaa kali hapo kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…