Naomba kujuzwa gharama ya kipimo cha endoscopy

pascal luoga

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
233
Reaction score
264
Wakuu naombeni kujua gharama ya kipimo cha endoscopy kile cha mrija wenye camera ambao unaingizwa puani.
 
Pale Ekenywa magomeni ni 40k bei imechachamaa na pia emdoscope zipo za aina nyingi kwasababu kile sio kipimo ni camera tu ile inayomuwezesha dokta kuona so unaweza kuwekewa puani,sikioni,sehem za siri mdomoni n.k
 
Ohh okay, ila kuna mtu ameniambia et ekenywa kumuona daktari tu elf 50
 
Endoscopy huu mpira nilidumbukizwa tumboni zaidi ya mara 3,hospital za serikali watakusumbua kidogo,
Hospital binafsi inategemea kila hospital ina bei yake,
Mimi nilifanya ya tumbo 360k
Ya pili pia bei hio hio
Ya tatu hospital ya serikali bure
Ya nne laki 8 pamoja na kuchukua sample kutuma Nairobi.

Jaribu kufanya research.
 
ni vidonda vya tumbo tu?
 
Wakuu naombeni kujua gharama ya kipimo cha endoscopy kile cha mrija wenye camera ambao unaingizwa puani.

Hicho kipimo cha endoscopy pale regency hospital upanga ni 275000Tsh na consultation ya doctor ni 38000.
 
Mzee wangu Ana vidonda vya tumbo shida ni kwamba kila akiongexewa damu baada ya siku kadhaa hb inashuka..

Kesho anaenda kufanya kipimo cha endoscopy / OGD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…