Wadau, habari zenu?
Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek).
Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one way, go & return)? Wakala gani anaweza kunisaidia? Contact number ya wakala?
Assuming all other factors, including Covid-19 protocols are fulfilled.
Asanteni.