kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuko mmoja wa cement unacover SQM 13 mpaka 15 kwa ratio ya 1:5, na SQM 10 mpaka 12 kwa ratio ya 1:4Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
Kaka )ulishawahi kuleta uzi kwa ajili ya jambo hili hili. Huoni kama ungeendeleza tu uzi ule ule kama kuna kitu hukuelewa uulize pale pale?Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.