Mfuko mmoja wa cement unacover SQM 13 mpaka 15 kwa ratio ya 1:5, na SQM 10 mpaka 12 kwa ratio ya 1:4
Plaster ya ratio 1:4 unapiga ktk kuta za nje
Plaster ya ratio 1:5 unapiga ktk kuta za ndani
Piga hesabu jumla ya eneo la kuta za ndani gawanya kwa 10, na jumla ya eneo la kuta za nje gawanya na 13 ili upate idadi ya cement, ukishindwa karibu PM (sio bure)
NB: Ni muhimu kumtumia mtaalam wa ujenzi kama mshauri vinginevyo unaweza kukwepa pesa ndogo ya kumlipa mtaalamu lakini ukaja kupigwa pesa ndefu na mafundi kwa sababu ya kutojua mambo ya ujenzi