kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Umeniharibia lunch hapa mkuu wangu🤸🤸🤸Wangari Maathai majibu tafadhali
Asante mkuu lakin Udiwani ni 10000Udiwani elfu 50 na Ubunge ni laki 1.
Nenda ofisi ya chama cha mapinduzi iliyopo jirani utapata jibu sahihiAsante mkuu lakin Udiwani ni 10000
Naomba kujua gharama za fomu kwa wale wote wanaotaman kugombea kupitia CCM wanatakiwa kulipia kiasi gani Cha fomu. Yaani ngazi ya Udiwani na Ubunge (Urais najua ni 1 Million)
Asanteni.