Gharama zake ni ndogo sana mkuu wasikutishe.
Kwa room mbili:-
1. lazima kila room iwe na bomba nne za ukututani yaani za taa 2 na za TV mbili inamaana utanunua bomba nane,pia bomba za kutambaa kwenye mtambaa panya lets say 10 kwa kila chumba jumla 20 ,max weka 30 ambao ni Tsh 45,000/=(Zile Nyeupe ndio ngumu).
2. Nyaya blue,red na black rola moja moja jumla Tsh 90,000-100,000/=
3.Vibati na socket kimoja jero lets say 16 unanunua , 8,000/=
4.Main Switch 4 ways - elfu 50 ,cb =25,000/=
5. waya wa 16 hapo inategemea na umbali wanauza kwa meter ambapo kwa Meter ni buku 2-3.
Kwahiyo Jumla hapo juu haizidi 250,000/= Fundi ni maelewano naye tu.