Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 249
- 506
Dah, ni kwa room mbili tu zinazojitegema mkuu. Nadhani utakuwa umejumuisha nyumba kubwa yenye room mbiliandaa milion 1 na nusu (1,500,000)
Mchanganuo ya hiyo 1500000 mkubwaandaa milion 1 na nusu (1,500,000)
breakerbleaker
holderhorder
clipscrips
Daah huyu mwamba [emoji1787][emoji1787]breaker
holder
clips
Daah huyu mwamba [emoji1787][emoji1787]
Shukrani sana mkuu.Inategemeana na sehemu husika
Imekaaje
2
Inategemeana na aina ya wayaring system unayoitaka...
Kweli kabisa [emoji1787][emoji1787]Niko fast mkuu hapa sipati hera![emoji23][emoji23]
Aisee! Yaani JF unaweza changanyikiwa kabisa maana.Gharama zake ni ndogo sana mkuu wasikutishe.
Kwa room mbili:-
1. lazima kila room iwe na bomba nne za ukututani yaani za taa 2 na za TV mbili inamaana utanunua bomba nane,pia bomba za kutambaa kwenye mtambaa panya lets say 10 kwa kila chumba jumla 20 ,max weka 30 ambao ni Tsh 45,000/=(Zile Nyeupe ndio ngumu).
2. Nyaya blue,red na black rola moja moja jumla Tsh 90,000-100,000/=
3.Vibati na socket kimoja jero lets say 16 unanunua , 8,000/=
4.Main Switch 4 ways - elfu 50 ,cb =25,000/=
5. waya wa 16 hapo inategemea na umbali wanauza kwa meter ambapo kwa Meter ni buku 2-3.
Kwahiyo Jumla hapo juu haizidi 250,000/= Fundi ni maelewano naye tu.
Aisee! Yaani jf unaweza changanyikiwa kabisa maana.
Kuna njemba juu hapo kaandika 1.5 million.
Chief alichokushauri King Kong III kina mantiki.Aisee! Yaani jf unaweza changanyikiwa kabisa maana.
Kuna njemba juu hapo kaandika 1.5 million.
Shukrani kamanda...!Chief alichokushauri King Kong III kina mantiki.
Mimi nyumba ya vyumba vi4 hesabu ya vifaa vya umeme ilikuwa laki 4 na ushehe hivi nikakadiria nikafanya laki 5,
Gharama ya vifaa vya umeme na maji imefika laki 8 hivi. View attachment 1720129
Sijaona bei ya waya hapo, hiyo main switch amekupiga, bei elekezi ni 85k (8 ways) tena TronicChief alichokushauri King Kong III kina mantiki.
Mimi nyumba ya vyumba vi4 hesabu ya vifaa vya umeme ilikuwa laki 4 na ushehe hivi nikakadiria nikafanya laki 5,
Gharama ya vifaa vya umeme na maji imefika laki 8 hivi. View attachment 1720129
Shukrani kwa kunigutua.. Uzuri vifaa nitaenda nunua mwenyewe, nipe bei elekezi ya vitu vingine..sijaona bei ya waya hapo, iyo main switch amekupiga, bei elekezi ni 85k tena Tronic
Pamoja albabuShukrani kamanda...!
Nenda Kariakoo mtaa wa Gogo/Narung'ombe, wana bei nzuri na elekezi, maduka yote ya pale bei ni moja.jumla kariakoo
Nilijua unatoa ushauri ukiwa tayari ushafanya implementation ya huo mchanganuo. Hawa mafundi wetu huwa hawachelewi kusema wamesahau kuandika hiki na kile.Shukrani kwa kunigutua.. Uzuri vifaa nitaenda nunua mwenyewe, nipe bei elekezi ya vitu vingine..
Ama itakuwa vema km utanijuza bei za jumla kariakoo, nikaruke navyo.