Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Waje mkuu tujue , maana nishati mbadala inapigiwa chapuo sana !Bado hawaonekani Ila wanakuja
Asante sana mkuu Blue Bahari angalau tumejua mahitaji , vipi kuhusu gharama mchanganuo kidogo hata kwa kugusia ufungaji ?Biogas hii technology wengi hawaijui TZ, hawaitumii, lakini ni Nzuri sana katika matumizi ya majumbani. Haichafui mazingira (eco-friendly) na renewable source of energy.
VITU Muhimu:
Kumbuka: Digestor inaweza Kutengeneza locally (using simtank or pit hole) au ya kununua.
- Digestor
- cow dung
- Gas stove
- Pipes
- etc, vingine wataongezea wengine.
==========
Hayo ndiyo niyajuayo kuhusu Mimi.
Niliendaga lutindi mission tanga nliona wao wanaitumiaBiogas hii technology wengi hawaijui TZ, hawaitumii, lakini ni Nzuri sana katika matumizi ya majumbani. Haichafui mazingira (eco-friendly) na renewable source of energy.
VITU Muhimu:
Kumbuka: Digestor inaweza Kutengenezwa locally (using simtank or pit hole) au ya kununua.
- Digestor
- cow dung
- Gas stove
- Pipes
- etc, vingine wataongezea wengine.
==========
Hayo ndiyo niyajuayo kuhusu Mimi.
Asante sana mkuu, ni kitu nzuri sana shida tunakosa mtu wa kutudadavulia kidogo ufungaji na gharama zake ! Kama ilivyo michango kwenye ujenzi wa nyumba watu walivyo na madini!Niliendaga lutindi mission tanga nliona wao wanaitumia
Ova
Tuwasubirie wataalam wajeAsante sana mkuu, ni kitu nzuri sana shida tunakosa mtu wa kutudadavulia kidogo ufungaji na gharama zake ! Kama ilivyo michango kwenye ujenzi wa nyumba watu walivyo na madini !!
Hata kama kuna kampuni zinazohusika waweke maelezo na mawasiliano ikiwezekana !!
Mi siyo mtaalamu. Nimejua tu Kwa kusoma kwenye vitabu, na specifically Kwa ajili ya kuwafundisha Wanafunzi Wangu theoretically.Asante sana mkuu Blue Bahari angalau tumejua mahitaji , vipi kuhusu gharama mchanganuo kidogo hata kwa kugusia ufungaji ?
Asante sana mkuu !!Ninapofanyia kazi wanapika kwatumia umeme na wanalisha zaidi ya watu 2000 per day. Kama utapata watu wa Ako company hii inajihusisha na chakula hasa migodi mikubwa
Mkuu tusaidie hata kuangalia hizo sufuria zao za umeme zikoje zikoje ! Utuelezee kidogo na namna ya kuzipata !!Ninapofanyia kazi wanapika kwatumia umeme na wanalisha zaidi ya watu 2000 per day. Kama utapata watu wa Ako company hii inajihusisha na chakula hasa migodi mikubwa
Ni ngumu kuingia jikoni kama sio mhusika. HairuhusiwiMkuu tusaidie hata kuangalia hizo sufuria zao za umeme zikoje zikoje ! Utuelezee kidogo na namna ya kuzipata !!