Naomba kujuzwa gharama za kujenga nyumba yavyumba viwili

Naomba kujuzwa gharama za kujenga nyumba yavyumba viwili

NjavikeSoftcom

New Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Habari,

Nahitaji kujua gharama za makadirio ya kujenga nyumba ya vyumba viwili (self), flat top .

Note:~ Estimated prices
 
Habari,

Nahitaji kujua gharama za makadirio ya kujenga nyumba ya vyumba viwili (self), flat top .

Note:~ Estimated prices
Gharama ya kujenga mita moja ya mraba inakadiriwa kati ya 550,000/= na 650,000/= kwa kutegemea na upatikanaji wa material.
Kwa hiyo tafuta mita za eneo la hivyo vyumba viwili kisha zidisha kwa 550,000/= utapata makadirio ya chini
 
Fafanua Yaan 10*11=110*550000=60,500,000

Sio mzee
Kwani lengo ni kujenga hadi hatua ipi? Lakini unadhani nyumba ya 10*11 ni ndogo? Gharama zinaweza kupungua au kuzidi kwa kutegemea na gharama za upatikanaji wa materials na ubora unaoutaka.
 
Back
Top Bottom