NjavikeSoftcom
New Member
- Apr 16, 2023
- 4
- 1
Serious ndio hivyo huwa unajibu..15 million
Dah we jaMaa15 million
Gharama ya kujenga mita moja ya mraba inakadiriwa kati ya 550,000/= na 650,000/= kwa kutegemea na upatikanaji wa material.Habari,
Nahitaji kujua gharama za makadirio ya kujenga nyumba ya vyumba viwili (self), flat top .
Note:~ Estimated prices
Gharama ya kujenga mita moja ya mraba inakadiriwa kati ya 550,000/= na 650,000/= kwa kutegemea na upatikanaji wa material.
Kwa hiyo tafuta mita za eneo la hivyo vyumba viwili kisha zidisha kwa 550,000/= utapata makadirio ya chini
Fafanua Yaan 10*11=110*550000=60,500,000
Sio mzee
Kwani lengo ni kujenga hadi hatua ipi? Lakini unadhani nyumba ya 10*11 ni ndogo? Gharama zinaweza kupungua au kuzidi kwa kutegemea na gharama za upatikanaji wa materials na ubora unaoutaka.Fafanua Yaan 10*11=110*550000=60,500,000
Sio mzee