Naomba kujuzwa gharama za kujifunza umeme wa magari

Naomba kujuzwa gharama za kujifunza umeme wa magari

richad

Member
Joined
Jan 13, 2019
Posts
14
Reaction score
3
Habari za saizi wakuu,

ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika, Nilikuwa naulizia gharama za kujifunza umeme wa magari garage inaweza ikawa shilingi ngapi na vipi kuhusu kupata gape la kufanyia kazi hususani kuhusu hiyo fani ya umeme wa magari na je iko vizuri kwenye ishu ya kujiajiri au kuajiriwa.

Naombeni ushauri kuhusu hilo wakuu.
 
Tafuta vyuo vya Don Bosco nasikia wapo vizuri. Ukisoma na ukabobea vizuri, halafu ukawa mwaminifu narudia tena mwaminifu, maisha utakuwa umeyapatia sana.
 
Back
Top Bottom