MalaikaMweupe
Member
- Feb 24, 2009
- 72
- 18
Kama unaona hela ni nyingi, fanya wewe mwenyeweHabari za humu wadau?
Msaada wenu tafadhali. Ninahitaji kupiga rafu sakafu, fundi kanambia labour charge ni sh 800,000/ ambapo ataongeza kifusi chini kidogo kunyanyua, maana kilikuwa kimeshawekwa kitambo na kazi inayobaki ya rafu, gharama yake ndo kanambia laki8, mimi nmeona ni parefu saaaaanaaaaa.........mnasemaje? ushauri wenu pliz
Nyunba ya vyumba 3 vya kulala vya wastani tu, sebule dining room, study room, bafu2 jiko na koridoMbona umeandika nusu nusu Kiongozi?
Hiyo rough unayosema ni kwa Ukubwa upi wa nyumba yaani nyumba ya vyumba vingapi?
Na hiyo rough yenyewe inajazwa kwa unene upi (thickness)
Ukiona ina kukata si uombe akupunguzie
Hao vibarua kwa kazi ya Zege hulipwa 25,000 hadi 35,000 kwa siku.Nyunba ya vyumba 3 vya kulala vya wastani tu, sebule dining room, study room, bafu2 jiko na korido
Elfu 20 kwa chumba 3mx3mHabari za humu wadau?
Msaada wenu tafadhali.
Ninahitaji kupiga rafu sakafu, fundi kanambia labour charge ni sh 800,000/ ambapo ataongeza kifusi chini kidogo kunyanyua, maana kilikuwa kimeshawekwa kitambo na kazi inayobaki ya rafu, gharama yake ndo kanambia laki8, mimi nmeona ni parefu sana.
Mnasemaje?
Ushauri wenu pliz
Hao vibarua kwa kazi ya Zege hulipwa 25,000 hadi 35,000 kwa siku.
Chukulia wapo 10
Msimamizi wao, yaani fundi Kiongozi analipwa 50,000 hivyo kwa kazi yote jumla muombe aifanye kwa 400,000 isizidi 500,000
Mpe 200,000 maximum 300,000. Hataki tafuta mafundi wengine. Laki 8 ni pesa ya kujenga boma la hiyo nyumba yako.Nyunba ya vyumba 3 vya kulala vya wastani tu, sebule dining room, study room, bafu2 jiko na korido
Wapi huko fundi analipwa 50k kwa siku? Au saidia zege 35k?Hao vibarua kwa kazi ya Zege hulipwa 25,000 hadi 35,000 kwa siku.
Chukulia wapo 10
Msimamizi wao, yaani fundi Kiongozi analipwa 50,000 hivyo kwa kazi yote jumla muombe aifanye kwa 400,000 isizidi 500,000
Huenda nilipigwaWapi huko fundi analipwa 50k kwa siku? Au saidia zege 35k?
Ukilipa fundi zaidi ya 20k na saidia zaidi ya 10k umepigwa.
25k kwa slab hujapigwaHuenda nilipigwa
Ila kazi ya zege nimewahi kulipa 25,000 kwa kichwa na walikuwa vijana 25 maana ilikuwa zege ya slab ya ghorofa ( 4th floor) na ilikuwa wanabeba kwa kichwa.
Gharama inategemeana na bargain power yako
Ila mbinu yako ya ku-bargain nimeielewa.25k kwa slab hujapigwa
Sahihi mkuuSasa kiongozi umeshasema ilikua 4th floor apo Bei lazima ipande.
In short Bei ya kumwaga zege ground floor haiwezi kuwa sawa na Bei ya 1st au 3rd floor .
Huku kwetu fundi 10000 saidia 5000Wapi huko fundi analipwa 50k kwa siku? Au saidia zege 35k?
Ukilipa fundi zaidi ya 20k na saidia zaidi ya 10k umepigwa.
Wapi huko mkuu?
Fundi wa kawaida aliyeitwa na fundi mwenzie ni 25k, msaidizi ni 15k. Malipo yakiwa 20k kwa 10k kuna baadhi ya gharama zao utazibeba (misosi n.k.)Wapi huko fundi analipwa 50k kwa siku? Au saidia zege 35k?
Ukilipa fundi zaidi ya 20k na saidia zaidi ya 10k umepigwa.
Upo mkoa gani, ambako ukimlipa fundi zaidi ya 20k perday utakua umepigwa ?Wapi huko fundi analipwa 50k kwa siku? Au saidia zege 35k?
Ukilipa fundi zaidi ya 20k na saidia zaidi ya 10k umepigwa.
SingaporeUpo mkoa gani, ambako ukimlipa fundi zaidi ya 20k perday utakua umepigwa ?
Huenda hukupigwa pia. Wewe ndio uliona ugumu wa kazi,though ulichangia kwa kutoa fedha. Kiujumla hakuna guarantee ya malipo kwa fundi kama sheria.Huenda nilipigwa
Ila kazi ya zege nimewahi kulipa 25,000 kwa kichwa na walikuwa vijana 25 maana ilikuwa zege ya slab ya ghorofa ( 4th floor) na ilikuwa wanabeba kwa kichwa.
Gharama inategemeana na bargain power yako
Umenena vyema, niliona ugumu wa kazi yao ndiyo maana niliridhia kuwalipa kiasi kile.Huenda hukupigwa pia. Wewe ndio uliona ugumu wa kazi,though ulichangia kwa kutoa fedha. Kiujumla hakuna guarantee ya malipo kwa fundi kama sheria.
Ukiona inamfaa,mpe hata zaidi ya hiyo uliyotoa!
Ufundi ndo laki 8 au na material yamo humohumoNyunba ya vyumba 3 vya kulala vya wastani tu, sebule dining room, study room, bafu2 jiko na korido