Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Dar wastani m9-m14 vyumba vitatu vya kisasaNaomba kujua ujenz wa room 3(kimoja masta) na public toilet moja na jiko ndan, eneo sq20 kwa 15.
Dar es Salaam
Unapaua kwa hii figure?kwa dar wastani m9-m14 vyumba vitatu vya kisasa
👏🙌 inaonekana ulimenyana sana na mafundi na usimamiz wako ulikua mzuri sana... Big upMimi nimetumia 9ml pamoja na fundi kwa nyumba ya sqm 156.
Yaaap. N mie namuunga mkono. Lakini pia hata kama itazidi, uzuri ni kwamba umeanza, kwa sababu usipoanza hutojua gharama kamili utakayotumia.[emoji122][emoji119] inaonekana ulimenyana sana na mafundi na usimamiz wako ulikua mzuri sana... Big up
Tuone picha ya hiyo nyumba.Mimi nimetumia 9ml pamoja na fundi kwa nyumba ya sqm 156.