Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa mashimo ya maji taka kwa mkoa wa Mbeya

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Ninaomba mnieleweshe kuhusu ujenzi wa mashimo ya maji taka (Septic tanks) hapo Jijini Mbeya huwa mnayajengea ndani kwa kutumia nini Kati ya vifuatavyo:
1) Mawe
2) Tofali za kuchoma
3) Tofali za saruji

Msaada Tafadhali.Nimeomba wenyeji wa Mbeya mnisaidie kwa sababu nyie ni wazoefu wa hasa udongo wa MBEYA ambao niko ninaufanyia utafiti!Utakaponitajia kimojawapo ya hivyo nilivyotaja ninaomba na sababu kulingana na ujuavyo!

Karibuni kwa majibu!
 
Obviously ni tofali za saruji maana zikiwa za udongo (za kuchoma) kiasili hilo ni shimo la kuweka maji machafu so lazima zitamong'onyoka,mawe nayo hiyo kazi tu kwanza ya kulijenga itakuwa umempa fundi adhabu na kama itakuwa ndiyo chaguo lako basi jua gharama za fundi zitakuwa kubwa sana.

Siyo mwenyeji wa Mbeya wala siyo fundi mjenzi so subiri waje wanaojua zaidi.
 
Asante kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom