Obviously ni tofali za saruji maana zikiwa za udongo (za kuchoma) kiasili hilo ni shimo la kuweka maji machafu so lazima zitamong'onyoka,mawe nayo hiyo kazi tu kwanza ya kulijenga itakuwa umempa fundi adhabu na kama itakuwa ndiyo chaguo lako basi jua gharama za fundi zitakuwa kubwa sana.
Siyo mwenyeji wa Mbeya wala siyo fundi mjenzi so subiri waje wanaojua zaidi.