Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi wa kitanzania hawajui hizo sheria wengi wanatumia mabavu na huwezi kuwashtaki, wanavyokuja kukukamata wanatakiwa wawe na arrest warrant lakini wengi hawajui hiloHabarini,
Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
Haki zipo kwenye makabrasha tu. Imenenwa kuwa haki ahera sheria dunianiKwa hawa Polisi wetu, sidhani kama wanakuja mtuhumiwa ana haki zake.
Habarini,
Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
Habarini,
Napenda kujua ni kwa namna gani mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa kisheria? Na mkamataji ana wajibu wa kufanya nini kwanza kwa mtuhumiwa kabla ya kumkamata?
>>lazima aonyeshwe hati ya kukamatiwa
>>kuambiwa sababu zinazopelekea yeye kukamatwa na ni haki yake pia kukubali au kukataa kufungwa pingu