Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
667
Reaction score
183
Wadau kwa wale wanaotumia hii App j football tv naomba kujua kama channels zinazonekana kwenye hii app zinafunguka zote maana app yenyewe ni ya malipo kidogo tsh2000 kwa mwaka isiye ikawa ndio wapigaji.
 
Habari wakuu kwema..
Nilikuwa naulizia hii App ya J football tv nahitaji, anayejua naomba nijulishe kuipata
Shukran
 
Nmeitumia mwaka uliopita na ilikuwa poa sana ila saiz nlilipa 3000 mpka Leo password [emoji360] sijapewa ila wakikupa tu password bonge la app yaani utainjoi
 
Nmeitumia mwaka uliopita na ilikuwa poa sana ila saiz nlilipa 3000 mpka Leo password [emoji360] sijapewa ila wakikupa tu password bonge la app yaani utainjoi
Poa bro naomba mawasiliano yake jamaa na mimi anipatie na application yake niko tayari kulipia hiyo 3k tafadhali sana
 
Kulipia sio issues sema saiz password ndio wanazingua zingua sijajua kwann
Naomba nitumie link ya app yao. Nilikuwa nayo nikaifuta by mistake

Kuhusu password naona bora ungewasiliana nao kwa whatsapp namba zao zimo humo kwenye app
 
Back
Top Bottom