Jina la Biashara
Taarifa ya msajili (Extract from register)
Tin
Tax clearance
Mkataba wa pango
Nida /passport
Ingia kwenye www.business.go.tz
Bofya sehemu iliyo andikwa HUDUMA.
Chagua huduma za Leseni
Hatua ya kwanza JISAJILI.
Rejea sehemu ya huduma.
Huduma za Leseni
Jaza taarifa za maombi ya leseni
Weka documents kwenye mfumo.
Tuma ombi
Thibitisha malipo.
Tax clearance uharaka utategemea mtandao na halmashaur husika ushapu waoHabari wa JF,
Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number.
Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo wa upatikanaji ukoje na inachukua mda gani na gharama zake.
NB: Ni duka la Nguo za Mitumba.
-Provisional taxNenda TRA fungua file, wakukadirie Kodi lipa full wanakupa clearance certificate unapeleka ofisi ya biashara halmashauri huko ndio wanakupa leseni
ivi hii mkataba wa pango ni lazima ata kama frem ya biashara iko nyumban kwangu yaani sijapanga.Mkataba wa pango sehemu ya ofisi yako. Aina ya biashara unayofanya ukienda halmashauri pale watajaza details zote.
Kama ni home kwako unaenda na barua ya mwenyekiti yenye mhuri .ivi hii mkataba wa pango ni lazima ata kama frem ya biashara iko nyumban kwangu yaani sijapanga.
Leseni ya biashara ya kazi gani ndugu yangu, unataka TRA wakugandamize na mikodi yangu mwisho ufirisike? Fikiria mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi
-Provisional tax
-Withholding tax (Rental)
Hiyo Provisional hata akilipa installment moja na WT anapata clearance anapeleka halmashauri husika, sababu ye ni sole proprietor analipa 75,000 anapewa business license, ingekuwa ni corporate (kampuni) angelipa 150,000 ili kupata leseni.
Kama ni mjini kabisa nilidhani ni huku mtaani. Maana huku wafanyabishara wengi kama sisi wala hatuhitaji hizo leseniNadhani n muhimu maana niko mjini kabisa na kukosa leseni itakuwa mess zaidi wakija kwa ukaguzi maana wana visits za kushtukiza mda mwingne.
Kuwa na leseni na vibali vyote kwenye biashara ni muhimu sana na lazima.Kama ni mjini kabisa nilidhani ni huku mtaani. Maana huku wafanyabishara wengi kama sisi wala hatuhitaji hizo leseni
Huku mtaani tunaishi janja janja sana ....tunaambizana wakiwa wanakuja tunafunga maduka yetuu kwa mda ....then maisha mengine yanaendeleaKama ni mjini kabisa nilidhani ni huku mtaani. Maana huku wafanyabishara wengi kama sisi wala hatuhitaji hizo leseni
mkuu kati ya mfumo huu www.business.go.tz na mfumo wa Tausi portal upi unatoa leseni maana hii mifumo inanichnganya leseni za halmashauri tunaambiwa tuingie Tausi portalJINSI YA KUPATA LESENI YA BIASHARA ONLINE :-
Jinsi ya kujisajili.