Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
1-NIDA (Namba au kitambulisho chenyewe)ili upate TIN pale TRA.Habari wa JF,
Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number.
Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo wa upatikanaji ukoje na inachukua mda gani na gharama zake.
NB: Ni duka la Nguo za Mitumba.
Kama una TIN# ya huyo mwenye nyumba wako na details zingine unafanya tu online(Tax Payer Portal) na kwenye provisinal hapo unafanya self assessment, ukilipa unaenda TRA kuprocess tax clearance ambapo watakuomba TIN# yako wataangalia ulicholipa,then wanaprint tax clearance certificate ...Je hii WT na Provisional tax all ni TRA wana clear zote au online pia naweza fanya bila kwenda ofisini?
Habari wa JF,
Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number.
Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo wa upatikanaji ukoje na inachukua mda gani na gharama zake.
NB: Ni duka la Nguo za Mitumba
Habari, wasiliana na ofisi za Halmashauri au Manispaa unayofanyia biashara kwaajili ya msaada zaidi.Habari wa JF,
Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number.
Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo wa upatikanaji ukoje na inachukua mda gani na gharama zake.
NB: Ni duka la Nguo za Mitumba.
Nikitaka kusajili shamba kama biashara taratibu ni zipi?Ha
Habari, wasiliana na ofisi za Halmashauri au Manispaa unayofanyia biashara kwaajili ya msaada zaidi.
Habari, kwa upande wa BRELA unaweza kusajili biashara yako kama jina la biashara au kampuni, usajili unafanyika moja kwa moja kupitia mtandao wetu wa ors.brela.go.tz au unaweza kutembelea katika tovuti yetu ya www.brela.go.tzNikitaka kusajili shamba kama biashara taratibu ni zipi?
Kumbe mpo huku safi.Habari, kwa upande wa BRELA unaweza kusajili biashara yako kama jina la biashara au kampuni, usajili unafanyika moja kwa moja kupitia mtandao wetu wa ors.brela.go.tz au unaweza kutembelea katika tovuti yetu ya www.brela.go.tz
Kumbe mpo huku safi.
Nimebadili details za biashara kwenye mfumo wa ors,sasa nimeambiwa niambatanishe form 6,where do I upload this form??
ShukraniHabari, kwa upande wa BRELA unaweza kusajili biashara yako kama jina la biashara au kampuni, usajili unafanyika moja kwa moja kupitia mtandao wetu wa ors.brela.go.tz au unaweza kutembelea katika tovuti yetu ya www.brela.go.tz
Habari, kuhusiana na kodi unawezaKama ulienda kuomba leseni na mkataba wa pango ilikuwa ni 50,000 kisha wakakudaria kodi badae ikatokea ukahama hio sehemu, na ukahamia sehemu ambayo Kodi yake labda ni 100,000 nk hapo kutakuwa na shida yoyote...!??
Msaada wakuu
Habari, kwa huduma inayohusiana na makadirio ya kodi na ufafanuzi wake wasiliana na ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa msaada zaidi.Kama ulienda kuomba leseni na mkataba wa pango ilikuwa ni 50,000 kisha wakakudaria kodi badae ikatokea ukahama hio sehemu, na ukahamia sehemu ambayo Kodi yake labda ni 100,000 nk hapo kutakuwa na shida yoyote...!??
Msaada wakuu