Naomba kujuzwa hili kuhusu uraia..

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,540
Reaction score
9,473
Kwa anaejua taratibu za kupata uraia wa Tanzania.. Jee kujua kiswahili sio sifa kuu ya kutunukiwa uraia wa nchi yetu tukufu..?
 
Kwanza kabisa Inatakiwa uwe umekaa tanzania kihalali zaidi ya miaka 10 na bila kuwa mashtaka mahakani au polisi. Na ndio mengine yatafuata
 
Kwanza kabisa Inatakiwa uwe umekaa tanzania kihalali zaidi ya miaka 10 na bila kuwa mashtaka mahakani au polisi. Na ndio mengine yatafuata

Umeona yulemzungu anavimbishia halmashauri ya Kinondoni,Kazuia Kamati ya Bunge raia gani huy yuko juu ya sheria nchi hii bwana ni zaidi ya ujuavyo
 
Kwanza kabisa Inatakiwa uwe umekaa tanzania kihalali zaidi ya miaka 10 na bila kuwa mashtaka mahakani au polisi. Na ndio mengine yatafuata

Kwa hiyo kujua kiswahili ni sifa ya ziada..? Kwa maana sio lazima..?
 
Umeona yulemzungu anavimbishia halmashauri ya Kinondoni,Kazuia Kamati ya Bunge raia gani huy yuko juu ya sheria nchi hii bwana ni zaidi ya ujuavyo

Ndo maana nikauliza Mkuu hili swali la uraia.. Maana yeye ni muwekezaji aliepewa uraia wa Tanzania..! Inakera sana.. Serious.. Hawa tuliowapa dhamana yu kuongoza nchii hii wanatupeleka kuzimu kwa speed ya ajabu.. Damn..
 
Kwa anaejua taratibu za
kupata uraia wa Tanzania.. Jee kujua kiswahili sio sifa kuu ya
kutunukiwa uraia wa nchi yetu tukufu..?

sio lazima ujue kiswahili, manake kuna waTZ wengi tu hawakijui! Wale mboga saba wapo wa kutosha na hawakijui
 
Baadhi ya wabunge wenyewe wanawatoto na hawajui kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…