Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
acha ukali dada flora ila mimba yako ina wiki 18 ni sawa na miezi 4 na wiki 2, vipi unaonyesha bado haujaanza clinic, nakushauri kwa afya ya mama na mtoto uanze mara moja kwenda clinic.
mimba yako imetunga tar 20-22 mwezi wa tisa kwa hyo mpaka sasa ina takriban miezi minne kasoro wiki moja hence ina wiki 15,kwa maelezo zaidi unaweza kuni-pm