Kwa muda mrefu naisikia nchi ya Jamaica lakini sijawahi kuisikia wala kujua mfumo wake wa uongozi wa kiutawala, wala kimataifa siisikii kiuongozi. Naomba mwenye kuijua hii nchi kiutawala anitoe tongotongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.