Q qaylah Member Joined Apr 28, 2018 Posts 17 Reaction score 13 May 12, 2018 #1 Habari zenu wana jamvi, Kwa muda mrefu naisikia nchi ya Jamaica lakini sijawahi kuisikia wala kujua mfumo wake wa uongozi wa kiutawala, wala kimataifa siisikii kiuongozi. Naomba mwenye kuijua hii nchi kiutawala anitoe tongotongo. Nawasilisha.
Habari zenu wana jamvi, Kwa muda mrefu naisikia nchi ya Jamaica lakini sijawahi kuisikia wala kujua mfumo wake wa uongozi wa kiutawala, wala kimataifa siisikii kiuongozi. Naomba mwenye kuijua hii nchi kiutawala anitoe tongotongo. Nawasilisha.
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 16,879 Reaction score 31,253 May 12, 2018 #2 Jamaica - Wikipedia