Jamaa wakati yupo mdogo huko kwako china alikua anapenda kujifunza kiingereza ilimbidi awe anatoka kwao kijijini hadi town kwa baiskel ili aweze kukutana na watalii wanaoongea kiingereza anawasaidia mizigo hapo hapo anapata maneno mawili matatu ya kiingereza,hao watalii ndio waliompa jina la.jack baada ya kuona jina lake la kichina linawashinda.
Baada ya kumaliza elimu yake high school.kwao china alienda havard kusoma huko alitimuliwa mara chuo mara tatu kwasababu ya kufeli.
Akarudi kwao china na kutafuta kazi,ambapo alifanya applications 33 na kutojibiwa hata moja.
Akajaribu kujiunga na jeshi napoa hakupata nafasi,.kipindi hicho KFC walikua wanafungua tawi huko china watu 24 walituma maombi mmojawapo ni yeye,walipata nafasi watu 23 na mmoja kukosa huyo mmoja ndio yeye.
Akaona poa isiwe tabu akawa anafundisha kwenye college ndogo ndogo ili kuendesh maisha hapo yupo na mekewe.
Ila hakupenda ile hali ya maisha akaondoka kwenda USA kutafuta maisha,hiyo ilikua mwanzoni mwa 90's,.akakutana na teknolojia ya internet ndio imeanza huko,akajifuza hayo mambo na kutengeneza blog ya kutangaza migahawa ya kichina.
Akashtukia blog yake imetembelewa na watu wengi wakitaka kuhusu hvyo vyakula vya kuchina,hapo akawaconnect watu hao na wamiliki wa migahawa hiyo.
Hapo akaona ni opportunity hiyo akarudi kwao china na kuanzia alibaba.com network makert ambayo inaconnect wazalishaji wa bidhaa mbalimbali za china na wateja dunian...hiyo ndio imemfanya kua katika orodha ya matajiri duniani.
Kidogo nnavyomjua jamaa huyo,sorry kama uandishi sio mzuri