Felix Mwinami
Member
- Aug 12, 2019
- 24
- 17
Naomba kujua idadi ya bati na mbao kwa hii nyumba. Ukubwa 30×36.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ukubwa wa 36x36 metres?Naomba kujua idadi ya bati na mbao kwa hii nyumba. Ukubwa 30×36.
View attachment 2209412View attachment 2209413
Hicho kiwanja kiko flat kitamu sana wapi huko mkuu?Naomba kujua idadi ya bati na mbao kwa hii nyumba. Ukubwa 30×36.
View attachment 2209412View attachment 2209413
Ni footHuo ni ukubwa wa 36x36 metres?
Itakuwa ft!Huo ni ukubwa wa 36x36 metres?
Kama ni futi maana yake roughly ni 10×12Metres. Saw5a na 120Sqm , hapo andaa mbao kama 150 na bati 120Naomba kujua idadi ya bati na mbao kwa hii nyumba. Ukubwa 30×36.
View attachment 2209412View attachment 2209413