Naomba kujuzwa je, dini ya Kiislam inaruhusu kula hawa wanyama?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Wakuu ningeomba nijuzwe kama Uislam unaruhusu kula hawa wanyama wafuatao:

1. Tembo?
2. Faru?
3. Kiboko?
4. Mamba?
5. Popo?
6. Kenge?
7. Farasi na punda wa porini?
8. Sili?
9. Nyangumi?
10. Pundamilia?
 
Minajua kilichoharamishwa ni kitimoto, hao uliowataja hapo wanaliwa vzr tu
 
Minajua kilichoharamishwa ni kitimoto, hao uliowataja hapo wanaliwa vzr tu
Kitimoto haijaharamishwa. Ni ruksa kula, katika dini ya kiislamu hakuna chakula kliichoharamishwa, hata nyama ya binadamu unaruhusiwa
 
Kwenye uislamu hakuna chakula kikichoharamishwa.
Hata nyama ya mtu inaliwa
ni dhambi kubwa kufa njaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…