Naomba kujuzwa jina na kazi ya hii antena katika gari

Naomba kujuzwa jina na kazi ya hii antena katika gari

Joined
Dec 26, 2012
Posts
7
Reaction score
2
Hii antenna inaitwaje na pia ina Kaz gani

IMG_20200610_143447.jpg
 
Mimi sijui mkuu, lakini naomba nikupongeze tu maana hiyo kitu ni pirrruuu kabisa.
 
Whip antenna
Ni kwa ajili ya mawimbi ya radio
 
Post #3 ni correct
Sawaa ila tafuta kazi wa whip antenna kama niliyoisema inakosekana njoo tena hapa. Hiyo unayoiona ni zile zinazokuja na gari kutoka kiwandani, zina utotauti za zile za aftermarket ambazo zinakuja ka kazi moja tu na zinakuwa hazina connection yyte na gari na unaweza kubandika na kubandua anytime
 
Back
Top Bottom