Naomba kujuzwa jinsi ya ku odder mapochi au mikoba ya kike kutoka China

Nasma Mtioli

New Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Habari..

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya kuagiza mapochi au mikoba ya kike kutoka China au mataifa mengine
 
Ingia alibaba, au AliExpress au nyinginezo jisajili tafuta bidhaa wasiliana na muuzaji oda tumia agent wanaotuma mzigo bongo kama muuzaji atakubali kama hatokubali basi atakutumia gharama , kama anaruhusu agent basi waweza wasiliana na kilmanjr carg n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…