Naomba kujuzwa jinsi ya kupata vibali vya kusafirisha milango ya miti pori

Naomba kujuzwa jinsi ya kupata vibali vya kusafirisha milango ya miti pori

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,404
Reaction score
10,900
Habari wanajukwaa.

Nataka kusafirisha Top za milango toka Songea kwenda Dar, naomba kujua changamoto za usafirishaji, kuna vibali vyovyote vinahitajika?

Kama vipo gharama zake zipoje?
 
Habari wanajukwaa.

Nataka kusafirisha Top za Milango Toka Songea kwenda Dar,naomba kujua changamoto za usafirishaji, Kuna vibali vyovyote vinahitajika?

Kama vipo gharama zake zipoje?
Kuna gharama.
Nenda ofisi ya TFS watakuelekeza. Usijaribu kusafirisha bila kuzilipia utazisusa kwenye vizuizi!
 
Sasa hivi hata ukisafirisha stuli lazima uwe na Kibali cha maliasili.
 
Back
Top Bottom