Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Dar mbao zipo, Sema huko ni bei ni kitongaDar hakuna mbao?ama unataka kuwatajirisha bwana misitu njiani![emoji276]
Dar mbao zipo,Sema huko n
Bei ni kitonga
Kuna gharama.Habari wanajukwaa.
Nataka kusafirisha Top za Milango Toka Songea kwenda Dar,naomba kujua changamoto za usafirishaji, Kuna vibali vyovyote vinahitajika?
Kama vipo gharama zake zipoje?
Uko wapi? Na hiyo top ni ya mninga/mkongo?Top moja kibali chake ni 70k kwa huku niliko.
Biharamulo, mbangaUko wapi? na hiyo top ni ya mninga/mkongo?