Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ya embe

Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ya embe

dayyan

Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
41
Reaction score
36
Nimeonja pili za embe tofauti tofauti na zote ni tamu balaaaa na zote zina rangi ya ukijani kibichi hebu kama mtu ana fahamu Adondoshe recipes hapa!
 
Kijani kibichi inawezekana ni embe au parachichi
Kama ni embe basi linahitajika embe bichi
Embe bichi
Pilipili
Tangawizi
Kotimil kidogo
Kitunguu saum
Maji kiasi
Changanya visage kwa pamoja

Au

Parachichi moja
Pilipili utakazo
Kotimil kidogo
Tangawiz
Kitunguu saum
Maji kiasi

NB:Hiyo ni pilipili ambayo haipikwi
 
Asante sana [emoji7][emoji173][emoji173][emoji173]
 
Kijani kibichi inawezekana ni embe au parachichi
Kama ni embe basi linahitajika embe bichi
Embe bichi
Pilipili
Tangawizi
Kotimil kidogo
Kitunguu saum
Maji kiasi
Changanya visage kwa pamoja

Au

Parachichi moja
Pilipili utakazo
Kotimil kidogo
Tangawiz
Kitunguu saum
Maji kiasi

NB:Hiyo ni pilipili ambayo haipikwi
Kotimil ndo ninii???
 
Pilipili ya embe ni tamu sana ....kuna vitu navimiss
 
Back
Top Bottom