nani mbuzi
Member
- Jan 2, 2014
- 79
- 11
Kuna wanaojua kutengeneza hayo material au sabuni za masinki na vyoo. watusaidie namna ya kutengeneza tuweke mazingira safi.
Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua mambo hayo tufundisheni
Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua mambo hayo tufundisheni