nani mbuzi Member Joined Jan 2, 2014 Posts 79 Reaction score 11 Aug 31, 2014 #1 Kuna wanaojua kutengeneza hayo material au sabuni za masinki na vyoo. watusaidie namna ya kutengeneza tuweke mazingira safi. Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua mambo hayo tufundisheni
Kuna wanaojua kutengeneza hayo material au sabuni za masinki na vyoo. watusaidie namna ya kutengeneza tuweke mazingira safi. Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua mambo hayo tufundisheni
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,152 Reaction score 3,473 Aug 31, 2014 #2 wewe ni housegirl?