Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka Password kwenye Folder ya Windows 10

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,362
Reaction score
6,274
Wakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer
Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
 
Ulipata solution kiongozi?? Nina shida kama yako apa
 
Back
Top Bottom