IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Tumia bitlocker
Hapa si mshauri aiseeTumia bitlocker
Ulipata solution kiongozi?? Nina shida kama yako apaWakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer
Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
Nilifanikiwa kwa files ambazo zipo kwenye flash drives kwa kutumia bitlockerUlipata solution kiongozi?? Nina shida kama yako apa
Duuh kwa zile ndani ya computer bado tatizo sioNili
Nilifanikiwa kwa files ambazo zipo kwenye flash drives kwa kutumia bitlocker
Sikuwa interested ku lock files za ndani ila kesho nitakupa jibu jinsi ya kuweka passwordDuuh kwa zile ndani ya computer bado tatizo sio