Naomba kujuzwa juu ya haki ya uhamisho

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Habari viongozi NAOMBA kujua Sheria inasema Nini Kama Mimi mtumishi wa Umma (ngazi ya Halmashauri) nitaamua kujiamisha kituo Cha Kazi Kama wao ofisi awajaniamisha kwa wakati). Je, Nini kinawez kutokea Kama nitajiamisha kwend kituo kngne ndan ya Halmashauri)

Kisa kipo hiv Kuna ndug alikuw katk ktuo x Kama Mwl Kiongozi lakn kutokan na nakupishan na mh. Diwan na Mwenye kit wa Kijiji wakanitengenezea propaganda Hadi akapumzishwa uongoz(demoted) sambamba wakaw wamemuacha Ndan ya kituo/shule hiYo hiYo naniaona hawana mpango wakumumisha Sasa anataka kujiamisha kwend shule nyingne nn kitatokea kisheria
 
Kitakachotokea ni kiwa utawajibishwa na mamlaka yako ya ajira kwa utoro kazini.
Kulikua na kale kautaratibu ka kubadilishana vituovya kazi, unaweza kujaribu kuutumia huo mfumo
 
Si uombe uhamisho mwalimu. Utajihamishaje bila ridhaa ya mwajiri?
 
Kituo kipya hawawezi kukupokea bila barua rasmi ya uhamisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…