Naomba Kujuzwa Juu ya Hatua za Kusajili Biashara ya Baa/Pub Hapa Tanzania.

Naomba Kujuzwa Juu ya Hatua za Kusajili Biashara ya Baa/Pub Hapa Tanzania.

Utivu

Senior Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
107
Reaction score
82
Wadau naomba kufahamu toka kwenu, ni vigezo vipi na hatua gani mtu anatakiwa kufuata ili aweze kuanzisha, kuendesha biashara ya baa/pub (baa/pub ndogo) kihalali?

Shukran.
 
Back
Top Bottom