Utivu Senior Member Joined Mar 23, 2011 Posts 107 Reaction score 82 Jul 5, 2012 #1 Wadau naomba kufahamu toka kwenu, ni vigezo vipi na hatua gani mtu anatakiwa kufuata ili aweze kuanzisha, kuendesha biashara ya baa/pub (baa/pub ndogo) kihalali? Shukran.
Wadau naomba kufahamu toka kwenu, ni vigezo vipi na hatua gani mtu anatakiwa kufuata ili aweze kuanzisha, kuendesha biashara ya baa/pub (baa/pub ndogo) kihalali? Shukran.