Habarini watukufu. Ningependa kufahamishwa juu ya uwazi wa mishahara na mali za watumishi wa uma, ikiwemo raisi, makamo wake, mawaziri na manaibu, makatibu wizara, wabunge na wengineo ,kada zote 4 ofisi ya *
Je, kuna sheria ya wazi kabisa inayoweka bayana kuwa viongozi, watendaji, na wajiriwa wote wa ofisi za uma mishahara yao na wanachokipata kuwekwa wazi....?!
Naomba kuelimishwa.