Naomba kujuzwa juu ya tarehe ya mwisho ya kuomba mkopo wa elimu ya juu.

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
668
Nimesoma ktk kitabu chao ya mwongozo nimeona mwisho wa maombi ni tarehe 30/6/2014 sasa je kwa hawa wanaomaliza mwezi huu itakuaje?nawasirisha wakuu,
 
Wao wanaweza wakapewa nafasi maalum, wewe nenda kaombe tu kama hujafanya,maana mwaka jana waliosogeza mbele tarehe yao ya mwisho wa kuomba baada ya kuchelewa kwa matokeo
 
Wao wanaweza wakapewa nafasi maalum, wewe nenda kaombe tu kama hujafanya,maana mwaka jana waliosogeza mbele tarehe yao ya mwisho wa kuomba baada ya kuchelewa kwa matokeo

ok je kwa yule anayerisit si itabidi asubili hadi majibu?pia inabidi alipe tena maana kama mwaka jana uliomba hukupata unafanyaje hapo?
 
Nimesoma ktk kitabu chao ya mwongozo nimeona mwisho wa maombi ni tarehe 30/6/2014 sasa je kwa hawa wanaomaliza mwezi huu itakuaje?nawasirisha wakuu,

mkopo unaombea kwa kutumia result la form 4.....!bt hii ni kwa wale wanaojiamini kuwa watafaulu form6

precautions ....!
 
mkopo unaombea kwa kutumia result la form 4.....!bt hii ni kwa wale wanaojiamini kuwa watafaulu form6

precautions ....!

mmh!sizani maana mtihani ni kama kamali vile,
 
mmh!sizani maana mtihani ni kama kamali vile,

utaratibu ndo huo ...ni kwamba unaomba mkopo kupitia result la CSEE hata kabla tokeo halijatoka.....then HESLB wataingia NECTA database kuhakiki tokeo lako la ACSEE pale matokeo yatapo toka na pia wata-receive confirmation kutoka TCU ya chuo ulichopangwa after tcu selecton.........hapa unakuwa na sifa za kupata mkopo..!

but ili upate mkopo sasa

after all procedures ndo unafanyiwa MEAN TESTING ili wajue una uhitaji kiasi gani....!!!kama ni

A-100 percentage
B-90 percentage ............
.............

mtihani ni kujua na (bahati kwa mbali )
 
ok je kwa yule anayerisit si itabidi asubili hadi majibu?pia inabidi alipe tena maana kama mwaka jana uliomba hukupata unafanyaje hapo?

Asubiri majibu ya nini na anaomba tu
 
kwahiyo utaandika na namba yako ya mtihan wa Acsee?je kama umerisit utatumia pia chet cha o level au kile cha advance cha mwanzo ?sorry mkuu kwa kukusumbua,
 
kwahiyo utaandika na namba yako ya mtihan wa Acsee?je kama umerisit utatumia pia chet cha o level au kile cha advance cha mwanzo ?sorry mkuu kwa kukusumbua,

Heslb huandiki namba ya ACSEE ...wewe ile namba yako ya CSEE ndo inatakiwa.

sijakuelewa unaposema hata kama umerudia...!

bt hata kama umerudia form 6 that is not a fact coz wao wata - receive confirmation from TCU kwamba unasifa za kwenda chuo (I mean after tcu selection )

pia ujue TCU ndo huwa wanaanza then HESLB wanafuata.

so kuhusu namba ya form six haihusiki kuombea mkopo...coz kumbuka mkopo anaomba mtu yeyote yule ambaye anasifa za kwenda chuo ambazo zinatambuliwa na tcu...i.e diploma holders, foreigners(i mean walisoma abroad ) ....wao Heslb huangalia CSEE coz ndo muhimu na kila mtu lazima apite hapo ili aendelee mbelee.
 
Last edited by a moderator:

nashukuru kwa maelekezo yako mkuu,
 
Last edited by a moderator:

asante kwa maelekezo yako mkuu,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…