Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Wadau,kutokana na ada pamoja na michango mingne inayotozwa na hvo vyuo imenifanya niulze kama hvo vyuo ni vya umma au binafsi,na kuna nin cha ziada wanafunzi wanachokipata hapo hadi watoze ada kubwa kiasi hcho?ntatolea mfano IAA,ada kwa mwaka ni 1,500,000tsh,hostel 400,000,kuna 250,000 ambayo hawajaeleza ni ya nin,hapo bado mtu hajala wala hajatoa copy.wanatuumizia wadogo zetu eti jaman.