Kwani dogo hakuiona udom? Muache aenyeke sasa.Nyio ndio walewale mnataka madogo eti wapige vyuo binafsi wakati mnajijua home choka kwa kutegemea heslb iwakingie vifua,sasa hayo ndio matokeo ya ubishi,Na taarifa isiyo rasmi hiyo ada wanampango wa kuiongeza to tsh 1.7 mn kwenye ishu za sayansi.
Unataka kusema hakuomba vyuo hivyo? Ndio maana kuna website na prospectus za Vyuo ungetumia vizuri kabla ya ku apply yasingekukuta hayo. Halafu na wewe kama msomi role yako ilikuwa nini wakati wa application? Kwani usingeshauri aombe vyuo ambavyo ada ni nafuu?kwan ye si amepelekwa na hawa wanaojiita cjui Tcu jaman?
Unataka kusema hakuomba vyuo hivyo? Ndio maana kuna website na prospectus za Vyuo ungetumia vizuri kabla ya ku apply yasingekukuta hayo. Halafu na wewe kama msomi role yako ilikuwa nini wakati wa application? Kwani usingeshauri aombe vyuo ambavyo ada ni nafuu?
kilikua chuo cha mwisho ktk machaguo yake yote 8 na hakujua ka angerushwa huko..
Hahahahaha!Hapo nikupe pole Senetor,kitachofuata unakijua kama hali yake inakuwa ngumu...dogo lenyewe la kike.