Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Wakuu habarini za kazi. Kuna hiki kidude huwa nakuona kwenye gari huwa sijui kazi yake, mwenye kufaham anijulishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi huwa nawekaga coins tu hapo [emoji23]Wakuu habarini za kazi. Kuna hiki kidude huwa nakuona kwenye gari huwa sijui kazi yake, mwenye kufaham anijulisheView attachment 1719525
Kawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari usedHongera kwa kumiliki chuma kaka
Unataka kusemaje mkuu [emoji276]Kawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari used
Gari kitu cha kawaida sanaUnataka kusemaje mkuu [emoji276]
Hongera kwa kumiliki chuma kaka
Hela ya bumu ukanunua gari.Kawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari used
Mkuu usidhani ni peke ako ndio umeshadaka pesa Ya boom , tupo wengi tunakuchora tu na uongo wakoKawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari used
Kajamaa kanafikiri kako fesibuku humu.Hela ya bumu ukanunua gari.
Wadanganye wengine.
Mbona walikugonga hivyo? Magari ya waya yanauzwa buku moja tu.Kawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari used
😂😂😂😂Mbona walikugonga hivyo? Magari ya waya yanauzwa buku moja tu.
Hongera sana mkuu.Kawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari used
Umetulia kwenye Crown,unaiuliza pisi kali vipi umeolewa?utasikia"Ndio,lakini sio kivile"hapo waliochukua kozi ya rikiboy wanaenda kujilia kimasihara.Uchawi wa kizungu,mtama kwa watoto.
Kaleta ujuaji ameshanukishwa tayari.Kwahiyo waungwana ndio wamepotezea swali la mwana-boom hivyoo??
😀Hukuifanya taxi bubu ukawa unaegesha karibu na Ubungo Tanesco Mkuu😀Kawaida sana, mi gari yangu ya 4 nlianza toka nipo UDSM hela ya boom nikanunua gari used
Wala sikuishobokea sababu ilikuwa ni siri hata nyumban haikifika hadi nlipomaliza chuo. Nlimpa jamaa yangu akawa ananipa elf 10 kila siku. Actually sikuwa na mkopo nlikuwa nalipiwa na mshua kiasi ila nlikuwa na ufadhili wa world bank, familia ilichangia ada kama dola 1000 tu kila mwaka, na kama dola 700 hivi za matumizi😀Hukuifanya taxi bubu ukawa unaegesha karibu na Ubungo Tanesco Mkuu😀