Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Tumemsajili Banda aliyekua akicheza ulaya uko Moldova nchi ya 177 katika viwango vya soka Duniani baada ya timu aliyokua akicheza kushindwa kumuongezea mkataba, tumr msajili na Mhilu baada ya kumuuza Mmakonde Ayo ndio tuliyo nayo.
Yanga katoa sare mechi zake zote mbili.Wasalaam,
Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!!
Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
Pia tumemsajili "Makombo" aliyecheza Horoya FC mechi 3 msimu mzima bila kufunga hata goli mojaTumemsajili Banda aliyekua akicheza ulaya uko Moldova nchi ya 177 katika viwango vya soka Duniani baada ya timu aliyokua akicheza kushindwa kumuongezea mkataba, tumr msajili na Mhilu baada ya kumuuza Mmakonde Ayo ndio tuliyo nayo.
Uto wamecheza mechi 2 wana point 2 na goli 1. Jana wamekoswakoswa na Atlabara Club inayoburuza mkia kwenye ligi ya South Sudan.Wasalaam,
Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!!
Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
Taarifa za huku bwanaa kuna washikadau wamepigwa,tena wamepigwa alfajiri na mapema,wameuziwa Konde Boy feki,mpaka sasa kombe la Kagame kapoteza kila pasi anayopewa.